Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya nchi za Falme za Kiarabu UAE Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan Jijini Abu Dhabi leo tarehe 25 Febuari 2022.
No comments :
Post a Comment