Friday, February 18, 2022

RAIS DK.MWINYI AZUNGUMZA NA WAKURUGENZI WA BODI YA (ZRB) NA UONGOZI WA BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB)




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) na Wakurugenzi wa Bodi ya (ZRB) alipotembelea kwa mara ya kwanza Ofisi za Bodi ya Mapato Zanzibar.(ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar, na kuzungumza na Uongozi huo katika ukumbi wa mkutano wa ofisi hiyo na kutengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa (ZRB) Bw. Salum Yussuf Ali.

 

MAOFISA wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wakurugenzi wa Bodi ya (ZRB) na Uongozi wa ZRB uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi za (ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment