Tuesday, February 22, 2022

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA ITALY NCHINI TANZANIA

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Italy Nchini Tanzania Mhe. Marco Lombardi (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Italy Inchini Tanzania Mhe Marco Lombardi, baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2022.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment