Wachama wanaopokea penchezi zao Katika  mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar ZSSF wametakiwa kujitokeza kwa wingi Katika zoezi la uhakiki ili kuendelea kupata pencheni zao bila usumbufu.


Wito huo umetolewa na mkuu wa vituo vya uhakiki Mkoa wa Kaskazini na Mkoa wa Kusini Unguja Bw. Omar Nasib Ramadhani huko Katika kituo Cha walimu TC Dunga Wilaya ya Kati