Friday, January 14, 2022

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe maalum ambae pia ni Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Ezechiel Nibigira, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino. 
 Katika tukio lingine Mhe.amepokea hati za utàmbulisho kutoka kwa mabalozi WA nchi Nne waliotumwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.




No comments :

Post a Comment