Wednesday, January 12, 2022

Rais Samia Akutana Na Kuzungumza Na Aliyekuwa Spika Wa Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Job Ngugai


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments :

Post a Comment