Daktari bingwa wa mifupa ambaye pia ni Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) Sylvester Faya akiwafundisha washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya jinsi ya kumuhudumia mgonjwa wa dharura na mahututi inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.Washiriki wa mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi iliyoandaliwa na kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) inayofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kuwahudumia wagonjwa hao . Washiriki wa mafunzo hayo ya siku mbili ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.
Picha na JKCI
Daktari bingwa wa mifupa ambaye pia ni Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) Sylvester Faya akiwafundisha washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya jinsi ya kumuhudumia mgonjwa wa dharura na mahututi inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.
No comments :
Post a Comment