Thursday, January 6, 2022

HATIMAYE SPIKA JOB NDUGAI AJIUZULU

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amejiuzulu wadhifa wake Leo Januari 6, 2022.

Hatua hiyo ya Spika inafuatia shinikizo kubwa kutoka kwa wananchi na wanasisa ndani ya CCM, kumtaka ajiuzulu wadhifa wake kufuatia kauli yake ya kutamka hadharani kuwa ipo siku nchi itapigwa mnada baada ya Serikali hivi karibuni kupokea mkopo wa shilingi trilioni 1.3 kutoka shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), ili kukabiliana na athari zilizosababishwa na ugonjwa wa Uviko 19.

Barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai hiyo hapo chini.

No comments :

Post a Comment