Afisa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mh:Juma Ali Salum{mwenye miwani} akiagana na watanzania waliofika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem nchini Ubelgiji kumsindikiza ndugu Othman{mwenye kofia} aliyefiwa na mkewe siku ya jumapili nchini Luxembourg.Ubalozi wa Tanzania ulifika uwanjani hapo kuhakikisha raia wake hapati usumbufu wowote na walimsaidia mpaka mwisho aliposafiri.
Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wameupongeza ubalozi wa Tanzania nchini hapo kwa hatua zote walizosaidia mpaka mwili wa marehemu kusafiri.
Shukrani za pekee kwa Mh:Balozi Jestas Abouk Nyamanga
Kaimu Balozi Mh: Juma Ali Salum,
Watanzania wote nchini Luxembourg,Watanzania wote nchini Uingereza,Watanzania wote nchini Ujerumani,Watanzania wote nchini Tanzania Bara na Zanzibar
No comments :
Post a Comment