Monday, November 1, 2021

REA Watembelea Miradi Ya Umeme Vijijini Mkoani Njombe

Vilgilio Kihwele ni fundi mkuu wa mitambo hiyo akitoa baadhi ya maelekezo kwa mkurugenzi mkuu wa wakala wa nishati vijiji (REA) alipotembelea mtambo wa kuzalisha umeme kwa maporomoka ya maji uliopo kijiji cha Ikondo wilayani Njombe.
Baadhi ya viongozi kutoka wakala wa nishati vijijini na wasimami wa mradi wa umeme wa maji Ikondo wakikagua na kupata maelekezo jinsi mradi huo unavyofanya kazi.

No comments :

Post a Comment