Sunday, November 14, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN MWINYI AWASILI DURBAN AFRIKA KUSINI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mwenyeji wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Mhe.Mashego Dlamini, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Shaka Jijini Darban Afrika Kusini, kuhudhuria Mkutano wa Ufungfuzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa Nchi za Afrika,utakaofanyika kesho 15-11-2021 Jijini Darban.(Picha na Ikulu)




No comments :

Post a Comment