RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA STANDARD CHARTERED BANK MJINI GLASGOW
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Mabenki ya Standard Chartered katika ngazi ya KimataifaJosé Viñals mara baada ya mazungumzo yao mjini Glasgow, Scotland Novemba 2, 2021 (PICHA NA IKULU).
No comments :
Post a Comment