Thursday, October 21, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA WENTWORTH GAS IKULU ZANZIBAR LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya Wentworth Gas Bw.Robert Mc Bean, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, 21-10-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya Wentworth Gas Bw. Robert  Mc Bean, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 21-10-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya Wentworth Gas Bw.Robert  Mac Bean akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo.Bi. Katherine Roe, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 21-10-2021.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment