Thursday, September 2, 2021

Rais Samia Akisalimiana Na Wananchi Wa Bagamoyo

02-03-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 alipowasili katika Eneo la Uvuvi Bagamoyo kwa  ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment