Tuesday, September 28, 2021

MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI JIJINI ABIDAN NCHINI IVORY COAST

 

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Sofitel Hotel Jijini Abidjan nchini Côte d’ Ivoire  kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Utalii yanayofanyika leo. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Richie Wandwi

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akiwasalimia machifu wa  makabila mbalimbali ya nchini Côte d’ Ivoire katika mkutano wa  Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani Jijini Abidjan nchini leo.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akishiriki Jukwaa la Mawaziri wa Bara la Afrika katika Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani Jijini Abidjan nchini Côte d’ Ivoire  leo


No comments :

Post a Comment