Wednesday, September 29, 2021

KWENYE HALMASHAURI ZOTE NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Bahati. I. Geuzye akiwasilisha nasaha zake kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) jijini Dodoma


Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), wakipata elimu kuhusu Mfuko wa Elimu wa Taifa na uanzishwaji wa Mifuko ya Elimu ya Halmashauri katika banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) jijini Dodoma.



Bi. Bahati Geuzye, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Bi. Gimbana Ntavyo, mara baada ya kutoa nasaha zake kuhusu uanzishaji na uhuishaji wa Mifuko ya Elimu ya Halmashauri katika Mkutano Mkuu wa ALAT wa mwaka jijini Dodoma.


 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bi. Bahati. I. Geuzye (katikati) akiwa amezungukwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakichukua mawasiliano yake mara baada ya kutoa nasaha zake kwa wajumbe hao jijini Dodoma

No comments :

Post a Comment