RAIS SAMIA AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS MPYA ZAMBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.
No comments :
Post a Comment