Sunday, August 29, 2021

MAJALIWA AJIONEA MAGOGO YALIYOVUNWA KINYUME CHA UTARATIBU KATIKA PORI LA AKIBA LA IGOMBE WILAYANI KALIUA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja  (kushoto) wakitazama magogo  katika  kijiji cha Wachawaseme ambayo yamevunwa kinyume cha utaratibuna watu wasiojuliakana kutoka katika Pori la Akiba  la Igombe wilayani Kaliua mkoa wa Tabora,  Agosti 28, 2021. Waziri Mkuu aliiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za  Misitu Tanzania (TFS) kuyapiga mnada magogo hayo kwa kuzingatia utaratibu uliowekwa na serikali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mipaka ya Hifadhi ya Iswima  katika Pori la Akiba la Igombe wilayani Kaliua ambako aliagiza pori hilo lilindwe baadwe baada  ya kushuhudia uharibifu unaofanywa na watu wanokata miti, kuendesha shughuli za kilimo, uvuvi na makazi kinyume cha sheria, Agosti 28, 2021.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mipaka ya Pori la Akiba la Igombe wilayani Kaliua ambako aliagiza pori hilo lilindwe baada ya kujionea uharibifu unaofanywa na watu wanokata miti, kuendesha shughuli za kilimo, uvuvi na makazi kinyume cha sheria, Agosti 28, 2021. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Balozi. Dkt.  Batilda Burian. (Picha na Ofisi ya 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mipaka ya Pori la Akiba la Igombe wilayani Kaliua ambako aliagiza pori hilo lilindwe baada ya kushuhudia uharibifu unaofanywa na watu wanokata miti, kuendesha shughuli za kilimo, uvuvi na makazi kinyume cha sheria, Agosti 28, 202. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt.  Batilda Burian. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment