Kutoka kushoto waliokaa ni Afisa Mtendaji wa Shirika la Legal Services Facility (LSF), Lulu Ng’wanakilala, Msajili wa Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs), Vickness Mayao (katikati), na Mwenyekiti wa Bodi ya LSF, Beng’i Issa, wakiwa pamoja na timu ya wafanyakazi wa LSF wakati wa uzinmduzi wa mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa Shirika la Legal Services Facility (LSF) kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Tukio la uzinduzi limefanyika leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Legal Services Facility, Beng’i Issa, akizungumza na wadau waliohudhuria tukio la uzinduzi wa mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa LSF kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Tukio la uzinduzi limefanyika leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Ufuatiliaji na Matokeo wa Shirika la Legal Services Facility (LSF), Said Chitung, akitoa wasilisho kuhusu maeneo muhimu ya mpango mkakati mpya wa LSF mbele ya wadau waliohudhuria tukio la uzinduzi wa mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa LSF kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Tukio la uzinduzi limefanyika leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Legal Services Facility, Beng’i Issa, akizungumza na wadau waliohudhuria tukio la uzinduzi wa mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa LSF kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Tukio la uzinduzi limefanyika leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Meneja Mwandamizi wa Shirika la Legal Services Facility (LSF), Wakili Deogratias Bwire, akizungumza mbele ya wadau mbalimbali kuhusu mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa LSF kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Tukio la uzinduzi limefanyika leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini, Vickness Mayao (katikati) akikata utepe kama ishara ya kuzindua mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa Shirika la Legal Services Facility (LSF) kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Waliosimama pembeni ni Afisa Mtendaji Mkuu wa LSF, Lulu Ng’wanakilala (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya LSF, Beng’i Issa (kulia). Tukio la uzinduzi limefanyika leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Legal Services Facility (LSF), Lulu Ng’wanakilala, akizungumza na wadau waliohudhuria tukio la uzinduzi wa mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa Shirika hilo kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Tukio la uzinduzi limefanyika leo Ijumaa, Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
Msajili ya Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Tanzania, Vickness Mayao, akizungumza na wadau waliohudhuria tukio la uzinduzi wa mpango mkakati mpya wa miaka mitano wa Shirika la Legal Services Facility (LSF) kwa ajili ya kuendelea kutekeleza program ya kukuza upatikanaji wa haki nchini kwa watu wote hususani wanawake na watoto. Tukio la uzinduzi limefanyika leo Agosti 20, 2021 Jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment