Saturday, August 21, 2021

Bei elekezi ya madini kwa mujibu wa Tume ya Madini mwezi Julai hadi Septemba 2021

 

HII HAPA CHINI NI BEI ELEKEZI KWA MUJIBU WA TUME YA MADINI KWA BAADHI YA MADINI YANAYOZALISHWA NCHINI NA KUUZWA KATIKA KIPINDI CHA MWEZI JULAI HADI SEPTEMBA 2021 (INDICATIVE PRICES OF MINERALS WITH REFERENCE TO PREVAILING LOCAL AND INTERNATIONAL MARKETS FOR SELECTED MINERALS PRODUCED IN TANZANIA FOR THE PERIOD OF JULY TO SEPTEMBER 2021)

Tume ya Madini ina jukumu la kutoa bei elekezi za madini kulingana na hali ya masoko ya madini husika ndani na nje ya nchi, kwa ajili ya tathmini na uthaminishaji wa madini pamoja na ukokotoaji wa mrabaha. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Alhamisi, tarehe 1 Julai 2021. 

Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafutayo (Mining Commission is mandated to produce indicative prices of minerals with reference to prevailing local and international markets for the purpose of assessment and valuation of minerals and assessment of royalty. Commission is hereby publishing indicative prices for selected minerals produced in Tanzania Mainland. These prices are applicable effectively from Thursday, 1 July 2021. Hereinafter, kindly take note of the following); 

(a) Mrabaha unatozwa kwa bei zinazojumuisha gharama zote hadi kufikia sehemu ya mauzo (Payments to the Government such a royalty, clearance and inspection
fee is based on the gross value at the point of sale); 

(b) Bei elekezi za madini ya dhahabu zitaoneshwa katika vibao kwa maandishi makubwa katika masoko husika (Indicative prices for precious minerals such as gold are displayed on the boards of respective mineral markets prevailing both local & international markets); 

(c) Bei elekezi za madini pia zinaweza kutegemea ankara za malipo zilizowasilishwa Tume ya Madini (Indicatives prices for minerals may depend on invoice submitted).




No comments :

Post a Comment