Sunday, August 22, 2021

BANK OF AFRICA YAWAPATIA MAFUNZO YA KIBISHARA WATEJA WAKE

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wassia Mushi akifungua warsha ya mafunzo ya kibiashara kwa wateja wa biashara za kati (SME) wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa washiriki wa warsha akipokea Cheti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wassia Mushi (Kulia)
Mmoja wa washiriki wa warsha akipokea Cheti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wassia Mushi (Kulia)
Washiriki wa warsha katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Bank of Africa (BOA) ,Bw. Wassia Mushi (katikati)

No comments :

Post a Comment