Naibu
Gavana, Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Dkt. Bernard Kibesse,
akipokea zawadi ya kombe baada ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupata
Ushindi wa tatu wa jumla katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea
jijini Dar es Salaam.
Naibu
Gavana, Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Dkt. Bernard Kibesse,
akielezea jambo kwa wataalam wa BoT kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha
pamoja na Kurugenzi ya Utafiti na Sera za Uchumi, kwenye banda la BoT
Sabasaba.
Naibu
Gavana, Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Dkt. Bernard Kibesse,
akifafanua jambo kwa wataalam wa BoT kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa
Sekta ya Fedha, kwenye banda la BoT Sabasaba.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Uendeshaji BoT, Bw. Kened Nyoni Afisa Rasimali Watu Mwandamizi, akijadili jambo na Bi. Consolata Shao, kwenye banda la BoT Sabasaba.
Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi BoT, Dkt. Suleiman Missango, akipewa maelezo kuhusu Dhamana za Serikali na Mchambuzi wa Masuala ya Fedha, Bw. Martin Kalihose, kwenye banda la BoT Sabasaba.
Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki, Bi. Victoria Msina, akizungumza na wananchi waliotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa BoT, Bw. Benard Dadi, katika majadiliano na Mchambuzi wa Mifumo, Bw. Robert Masalu na Mchambuzi wa Fedha Mwandamizi, Bi. Kidee Mshihiri
Mkurugenzi
wa Ukaguzi wa Ndani BoT, Bi. Aziza Hamis (kulia) akipewa maelezo kuhusu
Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania na Mchumi kutoka Kurugenzi ya Utafiti
na Sera za Uchumi, Bi. Sylvia Bwakea.
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mifumo ya TEHAMA, Bw. Joel
Ngussa, Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha, Bw. Alexander Ng'winamila, Mkurugenzi
wa Utafiti na Sera za Uchumi BoT, Dkt. Suleiman Missango, Mkurugenzi wa
Fedha, Bw. Jamhuri Ngelime, Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki, Bw.
Augustino Hotay, Meneja Msaidizi Idara ya Sarafu, Bw. Nixon Kyando na Afisa Benki Mkuu Mwandamizi, Bi. Restituta Minja kwenye banda la BoT Sabasaba.
Kaimu Mkurugenzi Bodi ya Bima ya Amana (DIB), Bw. Richard Malisa (kushoto) akijadiliana jambo na Afisa Rasimali Watu Mwandamizi, Bi. Joyce Shala na Afisa Benki, Bi. Rukia Muhaji
No comments :
Post a Comment