
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt.Damas Ndumbaro akimpa zawadi ya moja ya kikombe chenye nembo ya
Hifadhi za Taifa, Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya
Ufaransa, Mamadou Sakho akiwa na Mkewe Majda Sakho mara baada ya mkutano
na vyombo vya habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo
ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya
Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania. Wa
kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,
Dkt.Allan Kijazi 
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt.Damas Ndumbaro akimpa zawadi ya Tisheti kutoka Hifadhi ya Mamlaka ya
Ngorongoro Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya
Ufaransa, Mamadou Sakho akiwa na Mkewe Majda Sakho mara baada ya mkutano
na vyombo vya habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo
ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya
Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania. 
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt.Damas Ndumbaro akizungumza na Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na
timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho mara baada ya mkutano na
Nyota wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho akizungumza na Vyombo vya habari katika mkutano wa Waandishi wa habari uliofanyika Jijini Dodoma ambapo Nyota huyo ameahidi kuwaleta Mastaa wengi wa Soka kuja kutembelea vivutio vya Utalii nchini. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari wa Utalii Tanzania.
No comments :
Post a Comment