
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Maneja Masoko wa Kampuni ya Just Fit Ndg. Jabir Ali Jabir,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jezi na
Balozi wa Zanzibar International Marathon Bi. Salama Jabir kwa ajili ya
kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao
katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar,baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni
wake Ujumbe wa Kamati ya Zanzibar Marathon ikiongozwa na Waziri wa
Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa, walipofika
Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
na kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Marathon, yanayotarajiwa
kufanyika mwezi ujao.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa treksuit na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa kwa ajili ya kukimbilia katika Zanzibar Marathon yanayotarajiwa kufanyika mwezi ujao katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Maneja Masoko wa Kampuni ya JustFit Ndg. Jabir Ali Jabir,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment