
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Cpt. Mst. George
Huruma Mkuchika kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum)
katika hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Batilda
Salha Burian kuwa Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rodrick Lazaro
Mpogolo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Katavi 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dorothy Aidan
Mwaluko kuwa Katibu Tawala Singida. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Athumani Juma
Kihamia kuwa Katibu Tawala mkoa wa Arusha. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwanaasha Rajabu
Tumbo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Pwani 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ngusa Dismas
Samike kuwa Katibu Tawala mkoa wa Mwanza. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hassan Abasi
Rugwa kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Fatuma Ramadhan
Mganga kuwa Katibu Tawala mkoa wa Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Musa Ramadhani
Chogero kuwa Katibu Tawala mkoa wa Geita, 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Pili Hassan
Mnyema kuwa Katibu Tawala mkoa wa Tanga
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Prisca Joseph Kayombo kuwa Katibu Tawala mkoa wa Simiyu. 
Viongozi mbalimbali walioapishwa pamoja na kuteuliwa katika nafasi mbalimbali wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma mara baada ya tukio la Uapisho katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
No comments :
Post a Comment