
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kwa
Azizi Ali mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua mradi wa
ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa. 
Wananchi wa Mtongani na Kwa Azizi Ali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasalimia wakati akikagua ujenzi wa Barabara ya Mabasi yaendayo haraka (BRT) Awamu ya Pili (Mwendokasi) katika barabara ya Kilwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mbagala
mkoani Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua
maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara
ya Kilwa. 
Wananchi wa Mbagala wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza nao wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipewa maelezo kuhusu mradi wa Soko la Kisutu mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Sokoni hapo. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment