
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali
wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni
23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji alikohudhuria Mkutano wa
Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika SADC. Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia
kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi
zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana
na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza
kupambana na suala la Ugaidi. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Ambapo kwenye Mkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi. (Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment