
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Tanzania Mej.General Saali Mhidze
alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Tanzania Mej. General Saali Mhidze, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment