
Uwanja
wa Jamhuri jijini Dodoma unavyoonekana wakati wa maonesho ya pili ya
elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoshirikisha vyuo mbalimbali vilivyo
chini ya NACTE na taaisisi nyingne.
Mkuu
wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zacharia Mganilwa (kulia)
akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga
alipotembelea banda la NIT kwenye maonesho ya vyuo vya elimu ya mafunzo na
ufundi kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkuu wa kituo cha
umahiri katika usafiri wa anga na operesheni za usafirishaji, Mhandisi Abubakar
Noor
Mkurugenzi
wa uthibiti, ufuatiliaji na tathimini wa Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi (NACTE), Dkt. Jofrey Oleke akizungumza na wawakilishi wa taasisi
zilizoshiriki manonesho ya pili ya mafunzo na ufundi yanayofanyika
kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, ili kupata maoni yao katika
kuboresha maonesho yatakayofuata. Maonesho hayo yameandaliwa na NACTE.
Mwenyekiti
wa Baraza la NACTE Prof. John Kondoro (kulia) akimueleza jambo Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga alipotembelea
maonesho ya elimu ya mafunzo na ufundi kwenye uwanja wa Jamhuri jijini
Dodoma, yaliyoandaliwa na NACTE. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa NACTE,
Dkt. Adolph Rutayuga.

No comments :
Post a Comment