Wednesday, June 23, 2021

KIKAO CHA WANACHAMA WA MASEKRETARI CHAFANYIKA ZANZIBAR

Kaimu Katibu wa Jumuiya ya Masekretari Tanzania Rosi Mwaimu akizungumza na wanachama wa jumuiya hiyo kuhusuiana na matatizo yanayowakabili ndani ya chama na maofisini kwa ujumla katika Ukumbi wa Sanaa Raha leo Mjini Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA /MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Post a Comment