Muonekano
wa Jengo la Machinjio ya Kisasa ya Vingunguti jijini Dar es salaam
ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyakagua Mei 17, 2021. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Ng’ombe
akiingizwa kwenye mtambo maalum wa kuchinjia katika machinjio ya
kisasa ya Vingunguti jijini Dar es salaam ambayo Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa aliyakagua Mei 17, 2021.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mburugwa Matamwe (wa
pili kulia) ambaye ni Mhandisi na Msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa
Machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es salaam, Mei 17, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya uchinjaji mbuzi katika
Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini Dar es salaam, Mei 17, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Mradi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini. Dar es salaam, Mei 17, 2021.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa mifugo wakati
alipokagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es
salaam, Mei 17, 2021.
No comments :
Post a Comment