
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Mhe. Jaji Mstaaf
Mathew P.M.Mwaimu, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa
mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwake) Makamu Mwenyekiti wa Tume
hiyo Mhe.Mohamed Khamis .Hamad.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bota Tanzania ukiongoza na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaaf Mhe.Mathew P.M.Mwaimu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment