Wednesday, May 5, 2021

Rais Samia akutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jijini Nairobi



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Balozi Xia Huang Jijini Nairobi leo tarehe 05 Mei, 2021.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Balozi Xia Huang Jijini Nairobi leo tarehe 05 Mei, 2021. PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment