Tuesday, May 25, 2021

Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwana wa mfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwana wa mfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021. PICHA NA IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwana wa mfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwana wa mfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwana wa mfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.


 

No comments :

Post a Comment