Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Marubani pamoja na Wahudumu wa Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL muda mfupi kabla ya kuondoka Zanzibar na kurejea Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akiwasili kutokea Zanzibar leo tarehe 17 Mei, 2021. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment