Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (katikati) akipokea baadhi ya
nakala za vitabu vya mwongozo wa kuzuia na kufichua uhalifu katika
Kata/Shehia kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Jamii wa Kampuni ya
vinywaji ya Coca Cola, Salum Nassoro, ambapo jumla ya nakala 2000
zilichapishwa na kukabidhiwa kwa Jeshi hilo kupitia ufadhili wa kampuni
hiyo ya vinywaji, kushoto anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa
Makosa ya Jinai DCI Robert Boaz, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es
salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (katikati) akionesha baadhi
ya nakala za vitabu vya mwongozo wa kuzuia na kufichua uhalifu katika
Kata/Shehia kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Jamii wa Kampuni ya
vinywaji ya Coca Cola, Salum Nassoro, ambapo jumla ya nakala 2000
zilichapishwa na kukabidhiwa kwa Jeshi hilo kupitia ufadhili wa kampuni
hiyo ya vinywaji, kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai
DCI Robert Boaz, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam. Picha
na Jeshi la Polisi.
No comments :
Post a Comment