Friday, May 7, 2021

Balozi wa Ujerumani ziarani Serengeti

Balozi wa Ujerumani nchini Mhe. Regine Hess amewasili katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ziara ya kikazi. 

Balozi Hess atakagua miradi mbalimbali ya uhifadhi inayofadhiliwa na Ujerumani iliyopo ndani na nje ya hifadhi.



 

No comments :

Post a Comment