Thursday, May 6, 2021

BALOZI SIMBACHAWENE AIPONGEZA TIMU ILIYOFANIKISHA ZIARA YA MHE. RAIS KENYA




Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt John Steven Simbachawene akizungumza na watendaji na wataalamu kutoka Tanzania waliokuwa nchini Kenya kwa ajili ya kuhakikisha ziara ya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Kenya inafanyika kwa mafanikio



Watendaji na wataalamu kutoka Tanzania ambao walikuwa nchini Kenya kwa ajili ya kufanikisha ziara ya Mhe. Rais alipoitembelea Kenya tarehe 4-5 Mei 2021 wakiwa katika ukumbi wa mikutano katika Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi.



Baadhi ya watendaji na wataalamu kutoka Tanzania wakizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Simbachawene katika Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi.



Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Simbachawene akiwa na Mkurugenzi wa TanTrade Bw. Edwin Rutagaruka na Mkurugenzi wa idara ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikian wa Afrika MasharikiBw. Frank Mwega katika Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi.




Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt John Simbachawene (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Bw. Maduhu Kazi (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Mamlaka ya maeneo Maalum ya Mauzo ya Nje (EPZA) (wa kwanza kulia), Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bw. Edwin Rutageruka (wa pili kulia), na Mkurugenzi Mkuu wa Shirka la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuf Mngenya (wa pili kushoto) walipokutana kwa mazungumzo ofisini kwa Mhe. Balozi jijini Nairobi.


Balozi wa Tanzania nchini Kena Mhe. Dkt John Steven Simbachawene (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Bw. Maduhu Kazi (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Mauzo ya Nje (EPZA) Bw. (wa kwanza kulia), Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bw. Edwin Rutageruka (wa pili kulia), na Mkurugenzi Mkuu wa Shirka la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuf Mngenya (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje Bw. Frank Mwega na maafisa Ubalozi walipokutana kwa mazungumzo ofisini kwa Mhe. Balozi jijini Nairobi.


Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt John Steven Simbachawene (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Bw. Maduhu Kazi (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Mauzo ya Nje (EPZA) Bw. (wa kwanza kulia), Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bw. Edwin Rutageruka (wa pili kulia), na Mkurugenzi Mkuu wa Shirka la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuf Mngenya (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Wizara ya Mambo ya Nje Bw. Frank Mwega na maafisa Ubalozi walipokutana kwa mazungumzo ofisini kwa Mhe. Balozi jijini Nairobi.




Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. John Simbachawene katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Tanzania waliofanikisha ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini Kenya tarehe 4-5 Mei 2021.

No comments :

Post a Comment