Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa niaba ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Vifaa
mbalimbali ikiwemo Mchele, Sukari, Mafuta Unga wa Ngano, Sabuni, pamoja
na Vinywaji Baridi kwa ajili ya maandalizi ya Ufungo wa Mwezi Mtukufu
wa Ramadhani Unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, katika Kituo cha kulelea
Watoto Yatima cha Rahman Orphanege Centre Chang’ombe Jijini Dodoma leo
April 12,2021, pamoja na Milango na Madirisha kwa ajili ya kumalizia
Ujenzi wa Jengo la Madrasa ya Kituo hicho.
No comments :
Post a Comment