Aliyekuwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
akiapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 19, 2021
katika Ikuru ya Magogoni Mkoa wa Dar es Salaam. Ameapishwa leo baada ya
aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kufariki
Dunia Machi 17, 2021.

No comments :
Post a Comment