Wednesday, March 17, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO ZANZIBAR IKULU LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu,ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Bi. Fatma Hamad Rajab (hayupo pichani)  wakati wa mkutano huo wa Uongozi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuapishwa katika viwanja vya Ikulu, ikiwasilishwa na Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kushoto kwake) Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg. Khamis Abdalla Said, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Bi. Fatma Hamad Rajab akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za SMZ katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 

No comments :

Post a Comment