Sunday, March 28, 2021

PICHA ZAIDI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN IKULU CHAMWINO LEO

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo na viongozi wengine baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU Ikulu Chamwino
jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan akiagana na  Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi
28, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt Bashiru Ally pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU iliyofanyika  katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw. Charles Kichere baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali na TAKUKURU iliyofanyika  katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU iliyofanyika  katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt Bashiru Ally, Katibu Mkuu Ikulu Dkt Moses Kusiluka na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Utumishi) Dkt.
Laurean Ndumbaro baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU iliyofanyika  katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiaga ili kuondoka eneo la tukio baada ya hafla ya kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali na TAKUKURU iliyofanyika  katika
Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Machi 28, 2021.

 

No comments :

Post a Comment