Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan ataapishwa leo Machi
19, 2021 kushika madaraka ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Dar es salaam kuanzia majira ya
saa 4:00 asubuhi hii.
Pages
Thursday, March 18, 2021
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUAPISHWA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan ataapishwa leo Machi
19, 2021 kushika madaraka ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Dar es salaam kuanzia majira ya
saa 4:00 asubuhi hii.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment