Friday, March 19, 2021

MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA JPM – UWANJA WA UHURU


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini  kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli  kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Machi 19, 2021. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,  Hemed  Suleiman Abdalla (wa tatu kushoto)  wakimsiliza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) , Meja Jenerali, Charles Mbuge (kulia) ambaye  alikuwa akitoa maelezo kuhusu maandalizi  ya maombolezo ya kifo cha Rais Dkt. John Pombe  Magufuli kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, Machi 19, 2021. Kushoto  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana,  Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,   na watano kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ally. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment