
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi Seif
Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaaf, alipofika nyumbani
kwake Kama Wilaya ya Kaskazini B Unguja kumtembelea na kuzungumza nae
leo 12-2-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Balozi Seif Ali Iddi Makamu wa Pili wa Rais wa
Mstaaf, alipofika kumtembelea na kuzungumza nae nyumbani kwake Kama
Wilaya ya Kaskazini B Unguja.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment