Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Kiwanda cha
kusafisha na kufungasha mazao cha Mahashree Tanzania Limited kilichopo
nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua
Kiwanda cha Kuchakata Mpunga cha MW Rice Millers limited kilichopo
Kihonda mkoani Morogoro leo tarehe 12 Februari 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia moja ya bidhaa
za mchele wa aina mbalimbali katika Kiwanda cha MW Rice Millers limited
mara baada ya kukifungua
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia na kuwashukuru wananchi wa mkoa wa Morogoro mara baada ya
kufungua Kiwanda cha MW Rice Millers limited kilichopo Kihonda mkoani
Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare, Mkurugenzi wa
Kiwanda cha Ngozi cha Taifa-Morogoro Rostam Aziz wakati akifungua
Kiwanda hicho cha Ngozi cha Taifa-Morogoro kilichopo Kihonda katika
Manispaa ya Morogoro leo tarehe 12 Februari 2021 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Kiwanda cha Ngozi cha Taifa kilichopo Kihonda katika Manispaa ya Morogoro leo tarehe 12 Februari 2021.

Moja ya hatua za uchakataji wa Ngozi katika Kiwanda cha Ngozi cha Taifa kilichopo Kihonda mkoani Morogoro. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia moja ya hatua za
uchakataji wa Ngozi katika Kiwanda cha Ngozi cha Taifa mara baada ya
kukifungua. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
mara baada ya kufungua Kiwanda cha Ngozi cha Taifa-Morogoro kilichopo
Kihonda mkoani Morogoro. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Ngozi ambayo
imeshatengenezwa katika Kiwanda hicho cha Taifa kilichopo Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi
mara baada ya kufungua Kiwanda cha kusafisha na kufungasha mazao cha
Mahashree Tanzania Limited kilichopo nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitembezwa na Mkurugenzi Mtendaj wa Kiwanda cha Ngozi cha Taifa cha
Ace Leather Industries Bw. Rostam Azizi mara baada ya kuweka jiwe la
msingi la ujenzi wa kiwanda hicho kilicho eneo la viwanda la Mahonda
mjini Morogoro leo Ijumaa FGebruari 12, 2021
Sehemu ya Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao mara baada ya kufungua Kiwanda cha kusafisha na kufungasha mazao cha Mahashree Tanzania Limited kilichopo nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment