Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akikata utepe kufungua Soko Kuu la Morogoro pamoja na Waziri wa
Tamisemi Selemani Jafo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata
Ole Sanare, Mbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood pamoja na viongozi
wengine wa mkoa wa Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali wa Soko Kuu la mkoa
wa Morogoro ili kujua changamoto zao mara baada ya kulifungua Soko hilo
katika Manispaa ya Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali wa Soko Kuu la mkoa
wa Morogoro ili kujua changamoto zao mara baada ya kulifungua Soko hilo
katika Manispaa ya Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali wa Soko Kuu la mkoa
wa Morogoro ili kujua changamoto zao mara baada ya kulifungua Soko hilo
katika Manispaa ya Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo kuhusu changamoto
mbalimbali wanazokabiliananazo wafanyabiashara hao.

Soko Kuu la mkoa wa Morogoro kama linavyoonekana mara baada ya
kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Februari 2021.

Soko Kuu la mkoa wa Morogoro kama linavyoonekana mara baada ya
kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Februari 2021. (Picha zote na Ikulu).
No comments :
Post a Comment