WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais
Sheria, Katiba, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali
Suleiman akikabidhiwa CD ya Mashairi (NASHEED) na Sheikh Habib Othman
Mazinge.(kulia) wakati wa Tamasha la Kwanza la “Pongezi kwa Wana”
lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed Fuondation Zanzibar,
akimuakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya
Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais
Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman
akimkabidhi zawadi Mshindi wa Pili wa mashindano ya Nasheed Mwanafunzi
Hashiat Ramadhan Jussa, akikabidhiwa Charahali na Msahafu na fulana,
wakati wa hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana
lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais
Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman
akimkabidhi zawadi Mshindi wa Tatu wa mashindano ya Nasheed Mwanafunzi
Mudrik Mselem Ali, akikabidhiwa Baskeli Msahafu na fulana, wakati wa
hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana lililofanyika katika
ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora
Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman akimkabidhi zawadi Mshindi wa kwanza wa
mashindano ya Nasheed Mwanafunzi Nasra Abdalla Mohammed akikabidhiwa
Friji na Msahafu na fulana, wakati wa hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la
Pongezi kwa Wana lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa
Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar
Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungumza na kuhutubia katikia hafla ya
Tamasha la Kwanza la la Pongezi kwa Wana lililoandaliwa na Taasisi ya
Tawfiq Nasheed Foundation Zanzibar, akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi,
lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment