Saturday, January 2, 2021

Vodacom yatamatisha kampeni ya Shangwe Shangwena kwa kukabidhi gari Dodoma

 Mshindi wa tano wa promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena,  William Mpachilla mkazi wa Ipagala mjini Dodoma akifungua mlango wa gari mpya  aliyojishindia kwenye promosheni hiyo.  Anayeshuhudia nyuma kulia ni  Mkuu wa wilaya ya Dodoma,  Mhe. Josephat maganga na Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua.











 

No comments :

Post a Comment