Tuesday, January 5, 2021

Vodacom Tanzania PLC yatwaa Tuzo ya uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa mwaka 2019

Kamishna wa Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamaja akimkabidhi  Mkuu wa Mipango na Uwekezaji wa Vodacom Tanzania PLC,  Hilda Bujiku  tuzo ya mshindi wa kwanza kwa  uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statement for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Hafla hiyo ilifanyika  hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

 

No comments :

Post a Comment